Shirika la Afya Duniani linaeleza kuwa ikilinganishwa na shughuli nyingine za kilimo kama vile ukuzaji wa mahindi na hata malisho ya mifugo kilimo cha tumbaku kina madhara makubwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea uchambuzi wa wataalam kuhusu madhara hayo...