Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 04:29

Serikali ya Zimbabwe yawalaumu wafuasi wa Mugabe


Serikali ya Zimbabwe yawalaumu wafuasi wa Mugabe
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:52 0:00

Baraza la Taifa la Usalama nchini Zimbabwe limewashutumu washirika wa kiongozi wa zamani Robert Mugabe na baadhi ya wapinzani wa kisiasa kwa kueneza uzushi wa jaribio la mapinduzi.

XS
SM
MD
LG