Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Aprili 15, 2024 Local time: 03:48

Kongamano la kimataifa la kiuchumi kufanyika Rwanda


Viongozi kutoka nchi 10 za kiafrika na wajumbe zaidi ya 1500 wa serikali kutoka barani Afrika wanatazamiwa kukutana mjini Kigali Rwanda kwa mda wa siku 3 kwenye kongamano la kimataifa la kiuchumi.

Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa iko tayari kuendesha kongamano hilo ambalo litatumiwa na wadau wa kiuchumi kama jukwaa la majadiliano kuhusu sekta ya kiuchumi barani Afrika.

Kongamano hilo linaanza tarehe 11-13 Mei.

XS
SM
MD
LG