Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 22, 2024 Local time: 20:12

Russia yaongeza mashambulizi mashariki mwa Ukraine


Jumba likiwaka moto baada ya kushambuliwa kwa bomu, Mariupol, Ukraine. March 11, 2022
Jumba likiwaka moto baada ya kushambuliwa kwa bomu, Mariupol, Ukraine. March 11, 2022

Mashambulizi yameongezeka katika miji ya Sievierodonetsk, katika ukanda wa mashariki wa mto Siverskiy Donets, na mji wa Lysychansk katika ukanda wa magharibi.

Wanajeshi wa Russia wanashambulia miji hiyo kutokea sehemu tatu.

Vita vya Ukraine vimeingia miezi mitatu, na maafisa katika mji wa pili kwa ukubwa wa Kharkiy, wanatarajiwa kufungua huduma za treni za chini ya ardhi, ambapo maelfu ya watu wamekuwa wakiishi kwa miezi kadhaa kutokana na mshambulizi ya mabomu.

Mashambulizi makali pia yanaendelea katika sehemu za kusini, ambapo Moscow inajaribu kuteka eneo la Donbas lenye mikoa miwili ya Donetsk na Luhansk.

XS
SM
MD
LG