Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 07:06

Repoti Maalum ( 3 ) : Jinsi Mombasa inavyoendelea kufikia maridhiano


Repoti Maalum ( 3 ) : Jinsi Mombasa inavyoendelea kufikia maridhiano
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:51 0:00

Ikiwa ni moja ya mikakati ya kurejesha amani katika jamii mbalimbali nchini Kenya kufuatia vitendo vya ugaidi, na mauaji ya kikatili, mashirika mbalimbali yamechukua jukumu la kuleta maridhiano baina ya mkundi mbalimbali.

XS
SM
MD
LG