Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 23, 2024 Local time: 23:47

Ufaransa yatakiwa kuunda idara moja kupambana na ugaidi


Uchunguzi wa Bunge la Ufaransa kuhusu shambulio la kigaidi lililotokea mwaka uliopita mji Paris unatoa wito wa kuundwa kwa idara moja ya kupambana na ugaidi.

Pendekezo la mageuzi katika Idara za Usalama ni moja kati ya mapendekezo matatu yaliyofanywa na tume iliyotoa ripoti yake leo Jummane.

Uchunguzi huo unaonyesha kuwa Idara za Upelelezi zilishindwa kumfuatilia Said Kouachi miezi kadha nyuma kabla yeye na kaka yake, Cherif, kushambulia ofisi za Charlie Hebdo na kuuwa watu 12, Januari 7.

XS
SM
MD
LG