Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Machi 02, 2024 Local time: 02:46

Rais wa Brazil huenda akasimamishwa kazi


Rais wa Brazil Dilma Rousseff alipohudhuria sherehe za Mei Mosi mjini Sao Paulo, Brazil.
Rais wa Brazil Dilma Rousseff alipohudhuria sherehe za Mei Mosi mjini Sao Paulo, Brazil.

Rais wa Brazil, Dilma Rouseff, anaweza kuwa saa chache tu kutoka kusimamishwa kazi wakati bunge la nchi hiyo linaanza mjadala leo Jumatano juu ya kama afungliewe mashitaka.

Kura hiyo ya kumsimaisha na kama afunguliwe mashitaka ya kumuondoa madarakani inatarajiwa kuanza kupigwa leo Jumatano usiku au kesho asubuhi.

Kura ya maoni ya magazeti iimeonyesjha kwamba wabunge 50 wanatarajiwa kupiga kura ikiwa ni zaidi ya idadi ya wingi inayotakiwa. Hata hivyo haijafahamika kama wabunge hawa watapiga kura kumfungulia mashitaka.

XS
SM
MD
LG