Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 04, 2022 Local time: 18:18

Rais Joe Biden atoa wito kwa wapiga kura kutetea haki ya msingi ya kutoa mimba

U.S. President Biden visits Poland

Rais wa Marekani Joe Biden alitoa wito kwa wapiga kura wa Marekani  Jumanne kutetea haki ya msingi ya kutoa mimba baada ya rasimu iliyovuja iliyopendekeza Mahakama ya Juu iko tayari kufuta uamuzi wa muda mrefu wa kulinda haki ya mwanamke kutoa mimba.

Maoni ya walio wengi katika mahakama hiyo yenye waconservative wengi yaligonga Washington kwa kiasi kikubwa Jumatatu usiku, na hivyo kuweka badiliko ambalo linaweza kuwa la kihistoria katika suala lenye mvutano mkali ambalo kwa sasa lina hakika kutawala uchaguzi wa katikati ya awamu wa Novemba.

Kama rasimu hiyo itakuwa rasmi hatu ambayo inaweza kutokea katika miezi ijayo itaondoa karne nzima ya ulinzi wa katiba kwa haki za utoaji mimba ambao unaongoza msukumo wa kuondoa hatua hiyo.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG