Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Local time: 13:59

Marekani: Polisi kufanyiwa uchunguzi baada ya shambulizi la risasi

mkuu wa police Carl Dabadie Jr. katikati katika sala na maofisa wa polisi baada ya polisi kumpiga risasi mmarekani mweusi
mkuu wa police Carl Dabadie Jr. katikati katika sala na maofisa wa polisi baada ya polisi kumpiga risasi mmarekani mweusi

Gavana John Bel Edwards amesema wizara ya sheria itasaidiwa na idara ya maksoa ya jinai FBI katika uchunguzi wake na polisi katika eneo hilo.

Wizara ya sheria ya Marekani kitengo cha haki za kiraia kitaongoza uchunguzi kutokana na mauaji yaliofanywa na Polisi kumpiga risasi Mmarekani mweusi nje ya duka la vyakula Jumanne katika jimbo la Luoisiana.

Gavana John Bel Edwards amesema wizara ya sheria itasaidiwa na idara ya maksoa ya jinai FBI katika uchunguzi wake na polisi katika eneo hilo.

Edwards alisema jumatano “nina wasi wasi mkubwa”Video hii inasikitisha sana.

Video hiyo ilionyesha mmoja wa polisi hao akimpiga risasi Alton Sterling mwenye umri wa miaka 37 wakati akiwa amebanwa ardhini. Video hiyo ilipelekea wito wa kujiuzulu kwa mkuu wa Polisi wa mji huo Carl Dabadie.

XS
SM
MD
LG