Upatikanaji viungo

Ziara ya Rais wa Nigeria na Somalia, Kenya.

Rais Hassan Sheikh, Somalia, Muhammadu Buhari, Nigeria na mwenjeji wao Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na mwenzake wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud wamefanya ziara nchini Kenya wakati wakitoa pole zao kwa wanajeshi waliouwawa Somalia.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na mwenzake wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud wamefanya ziara nchini Kenya wakati wakitoa pole zao kwa wanajeshi waliouwawa Somalia.

Wakati wakifanya kikao Alhamisi, kwenye Ikulu ya Nairobi, Rais Uhuru Kenyatta na mawenzake wa Nigeria Muhammadu Buhari wamesema kuwa nchi zao zitashirikiana katika juhudi za kuangamiza Ugaidi.

Rais Hassan Sheikh wa Somalia ameshukuru Kenya na wanakenya kwa kushirikiana na nchi yake katika kupambana na Ugaidi. Ziara hiyo imezua hisia miongoni mwa watu wa kieneo.

XS
SM
MD
LG