Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 22, 2024 Local time: 18:41

Mahojiano na aliyekuwa kiongozi wa CCM Ngombale-Mwiru Tanzania


Kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngomale-Mwiru
Kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngomale-Mwiru

Mwanasiasa mkongwe wa chama cha mapinduzi CCM Kingunge Ngombare Mwiru ametangaza kuachana na chama hicho ikiwa zimebaki siku chache tu kufanyike uchaguzi mkuu nchini Tanzanzania octoba 25.

Mahojiano na aliyekuwa kiongozi wa CCM Ngombale-Mwiru Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:22 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Kingunge anasema amefikia uamuzi huo baada ya kutoridhishwa na utaratibu mzima wa uteuzi wa mgombea wa chama cha CCM na viongozi wake kukaa kimya bila kutoa maelezo.

Lakini kubwa zaidi anataka mabadiliko.

XS
SM
MD
LG