Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 22, 2024 Local time: 20:35

Ndege zaruhusiwa kuingia tena katika uwanja wa ndege wa Manila

Abiria ChristmasParanaque City, Metro Manila, Philippines, December 23, 2022.
Abiria ChristmasParanaque City, Metro Manila, Philippines, December 23, 2022.

Ndege zimeanza tena kukubaliwa kuingia katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Manila  wa Ninoy Aquino baada ya matatizo ya kiufundi ya waongoza ndege kuzuia ndege kuingia na kutoka kwenye uwanja huo.

Ndege zimeanza tena kukubaliwa kuingia katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Manila wa Ninoy Aquino baada ya matatizo ya kiufundi ya waongoza ndege kuzuia ndege kuingia na kutoka kwenye uwanja huo.

Kufuatia kurekebishwa kwa mfumo wa waongoza ndege idara ya usafiri ya Ufilipino imesema katika taarifa yake kwamba ndege zinaingia tena . Shirika hilo limesema ndege ya kwanza kutua ilikuwa ndege ya shirika la ndege la Ufilipino kutoka Brisbane Australia.

Shirika la habari la Reuters liliripoti hapo awali kwamba kuzuiwa huko kuliathiri maelfu ya abiria.

XS
SM
MD
LG