Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Aprili 02, 2023 Local time: 14:01

Ndege za jeshi la anga la India zimeanguka na rubani mmoja amefariki


Mfano wa ndege iliyoanguka nchini India na kusababisha kifo cha rubani mmoja

Jeshi la anga limesema mmoja wa marubani kati ya watatu waliohusika katika ajali hiyo ya jumamosi asubuhi amefariki dunia

Ndege mbili za Jeshi la Anga la India zimeanguka wakati zikiwa kwenye mafunzo ya kawaida. Jeshi la anga limesema mmoja wa marubani kati ya watatu waliohusika katika ajali hiyo ya jumamosi asubuhi amefariki dunia. Ajali hiyo ilitokea karibu na Morena huko Madhya Pradesh. Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa ndege iliyohusika katika ajali hiyo ni ndege ya kivita aina ya Sukhoi-30 na Mirage-2000.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG