Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 04, 2023 Local time: 09:46

Mwili wa hayati Magufuli wawasili Chato, kuagwa na kuzikwa


Mwili wa hayati Magufuli wawasili Chato, kuagwa na kuzikwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:00 0:00

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli umewasili Chato, mkoani Geita, na matayarisho ya shughuli ya kuagwa Alhamisi yanaendelea na anatarajiwa kuzikwa siku ya Ijumaa.

XS
SM
MD
LG