Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 25, 2024 Local time: 12:43

Pendekezo Museveni kuwa Rais wa Maisha


Rais Yoweri Museveni wa Uganda.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda.

Mjadala kuhusu marekebisho ya katiba ili kumruhusu Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuendelea kuwepo madarakani unaendelea.

Mjadala kuhusu marekebisho ya katiba ili kumruhusu Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuendelea kuwepo madarakani unaendelea nchini humo, baada ya chama chake kupendekeza marekebisho hayo.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:52 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


Chama chake Museveni cha NRM, kinataka katiba ya Uganda kufanyiwa marekebisho ili kuondoa sheria ya umri kwa mgombea urais, baada ya sheria ya kuhudumu kwa mihula miwili kuondolewa. Kama anvyoripoti mwandishi wa VOA Kennes Bwire, kutoka Kampala,Uganda.

Bonyeza usikilize.

XS
SM
MD
LG