Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 12, 2024 Local time: 23:00

Mrama Wahamiaji Waafrika Ugenini


Wakati Ulaya inaendelea kupokea mmiminiko wa wahamiaji kwa idadi kubwa sana, hadithi za wale wanaokimbia vita nchini Syria, Iraq na Afghanistan zimetawala vichwa cha habari.

Lakini hadithi za waafrika wa chini ya jangwa la Sahara, wahamiaji wa uchumki na wakimbizi kuhusu ukosefu sugu wa uthabiti na ghasia za kikanda , si sana kuwafikia wengine ulimwenguni — mpaka pale safari zao zinapokabiliwa na majanga.

Kati ya takriban waafrika 130,000 ambao wamejaribu kusafiri mwaka 2015 peke yake, wengi wao walikuwa wanakimbia majanga ya kila siku na umaskini uliokithiri — kile ambacho wengine wanakiita ni athari za mabaki ya enzi ya ukoloni.

Zaidi Mrama Wahamiaji Waafrika Ugenini >>

XS
SM
MD
LG