Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 15:48

Mkutano wa Maziwa Makuu wajadili kwa kina usalama wa DRC


Mkutano wa Maziwa Makuu wajadili kwa kina usalama wa DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:18 0:00

Mkutano ya kutafuta amani eneo la Maziwa Makuu hasa Mashariki ya Congo uliojumuisha nchi zinazo izunguka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefanyika kwa siku nne na umejadili kwa kina usalama wa nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG