Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Septemba 28, 2022 Local time: 00:36

Mji wa Kharkiv washambuliwa kwa makombora


Bonde lililoachwa na shambulio la kijeshi la Russia usiku linaonekana, wakati shambulio la Russia dhidi ya Ukraine kati kati ya Kharkiv, Ukraine Agosti 27, 2022. REUTERS/Vyacheslav Madiyevskyy.

Mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine wa Kharkiv, umeshambuliwa kwa makombora kadhaa jumatatu asubuhi.

Mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine wa Kharkiv, umeshambuliwa kwa makombora kadhaa jumatatu asubuhi.

Gavana wa eneo hilo Oleh Syniehubov amesema kwamba jengo moja na makao makuu ya uongozi wa mji huo yameharibiwa.

Hakuna vifo vimeripotiwa.

Mkaazi wa mji huo amesema kwamba kulikuwa na mashambulizi Matano na kwamba sehemu ya nyumba yake imeharibiwa

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG