Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 22:43

Misri yatarajia mapato ya Mfereji wa Suez kufikia takriban dola bilioni 7

Meli ya mizigo ikipita katika mji wa Ismailia kwenye mfereji wa Suez Machi 30,2021.

Misri inatarajia mapato ya Mfereji wa Suez kufikia takriban dola bilioni 7 ifikapo mwisho wa mwaka huu wa fedha, waziri wa fedha Mohamed Maait alisema Jumamosi.

Misri inatarajia mapato ya Mfereji wa Suez kufikia takriban dola bilioni 7 ifikapo mwisho wa mwaka huu wa fedha, waziri wa fedha Mohamed Maait alisema Jumamosi.

Mapato ya utalii yanatarajiwa kufikia kati ya dola bilioni 10 na bilioni 12 kufikia wakati huo, licha ya mzozo wa Ukraine, aliongeza. Mwaka wa fedha wa Misri unaanza Julai 1 hadi Juni 30.

Mfereji huo ndio njia kuu ya meli kati ya Ulaya na Asia na mojawapo ya vyanzo vikuu vya fedha za kigeni vya serikali ya Misri.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG