Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 18, 2024 Local time: 17:34

Michelle Obama sasa ndani ya snapchat


Michelle Obama akiwa katika picha ya snapchat
Michelle Obama akiwa katika picha ya snapchat

Wapenzi wa Snap Chap wamepata mfuasi mpya . Mke wa rais Wa Marekani Michelle Obama sasa amejiunga rasmi na mtandao wa kijamii wa Snapchat.

Michelle alitangaza kuwa atajiunga na Snapchat mwezi huu ambapo pia anajiandaa kwenda Afrika kukutana na wanaharakati wa kumtetea mtoto wa kike kielimu.

Anatarajiwa kuzuru nchini za Morocco na Liberia na baadae Spain.

Sasa Michelle Obama ataweza kuwasiliana katika mtandao huo wa Sanpchart ambao maarufu sana ukitumiwa na vijana.

Wapenzi wa wa mtandao huu wanafurahia huduma ya Snapchat ya kuweka picha na habari na video kufutrika baada ya saa 24.

XS
SM
MD
LG