Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Juni 19, 2024 Local time: 21:00

Mashambulizi ya anga ya Russia  yapiga maeneo kadhaa nchini Ukraine


Wanajeshi wa Ukraine walirusha mfumo wa roketi wa BM-21 Grad kuelekea wanajeshi wa Russia karibu na mji wa mstari wa mbele wa Bakhmut.
Wanajeshi wa Ukraine walirusha mfumo wa roketi wa BM-21 Grad kuelekea wanajeshi wa Russia karibu na mji wa mstari wa mbele wa Bakhmut.

Mashambulizi ya anga ya Russia  yalipiga  maeneo kadhaa nchini Ukraine usiku kucha, ikiwemo mji mkuu, Kyiv,.

Mashambulizi ya anga ya Russia yalipiga maeneo kadhaa nchini Ukraine usiku kucha, ikiwemo mji mkuu, Kyiv,

Hayo yamejiri wakati Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy alipowasili Japan kwa ajili ya mkutano wa Kundi la nchi Saba (G7) zinazoongoza kiuchumi duniani.

Katika taarifa yake kwenye Twitter muda mfupi baada ya kuwasili katika jiji la Japan la Hiroshima, Zelensky aliandika kwamba mkutano huo unamaanisha usalama na ushirikiano ulioimarishwa kwa ushindi wetu.

Amani itakaribia zaidi hivi leo aliongeza.

Wakati huo huo maafisa wa jeshi la Ukraine wamesema ndege zisizo na rubani 18 zilitunguliwa katika mji mkuu wakati wa usiku.

XS
SM
MD
LG