Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 11:04

Marekani yatangaza mipango ya kuimarisha maendeleo na usalama Amerika ya Kati

Rais wa Honduras Xiomara Castro akiwa makamu Raid makamu rais Kamala Harris walipokutana kwa ajili ya mkutano wa pande mbili huko Tegucigalpa Januari 27, 2022.(Erin/Reuters).
Rais wa Honduras Xiomara Castro akiwa makamu Raid makamu rais Kamala Harris walipokutana kwa ajili ya mkutano wa pande mbili huko Tegucigalpa Januari 27, 2022.(Erin/Reuters).

Marekani imetangaza Jumanne mipango kadhaa ya serikali na sekta binafsi iliyokusudiwa kuimarisha maendeleo na usalama katika Amerika ya Kati kama sehemu ya mpango ulioundwa kushughulikia sababu kuu za kwanini watu wanahamia Marekani.

Makamu wa Rais Kamala Harris amekuwa akiongoza mpango huo, ambao ulijumuisha kukutana na viongozi wa biashara Jumatatu usiku kabla ya kutangaza dola bilioni 1.9 katika miradi mipya ya kibinafsi kutoka kwenye biashara na mashirika 10.

Matangazo hayo yanakuja huku Marekani ikiwa mwenyeji wa viongozi wa Mkutano wa Wakuu wa Amerika wiki hii huko Los Angeles, lakini isipokuwa machache makuu.

XS
SM
MD
LG