Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 15:57

Maoni ya Wamarekani kuhusu itikadi kali ya Kislamu


Utafiti mpya unaonyesha kwamba Wademokrat na Warepublikan wanahitilafiana sana juu ya jinsi rais mpya wa Marekani atakavyo shughulikia suala la itikadi kali za kislamu

Utafiti mpya unaonyesha kwamba Wademokrat na Warepublikan wanahitilafiana sana juu ya jinsi rais mpya wa Marekani atakavyo shughulikia suala la itikadi kali ya kislamu.

Kituo cha utafiti cha PEW kimegundua kua asilimia 65 ya Warepublikan au wale wanaoegemea upande wa chama hicho wangependa yule atakayemrithi Rais Obama azungumzie suala hilo wazi wazi, hata kama kauli hizo ni za kuukosoa uislamu kwa jumla.

Hata hivyo, asili mia 70 ya Wademokrat au wale wanaoegemea mrengo huo, wanonelea kwamba rais ajaye azungumzie suala hilo la itikadi kali kwa tahadhari zaidi.

Hata hivyo, nusu ya Wamarekani wote hawataki rais ajaye kuukosowa uislamu kwa ujumla wakati akizungumzia msimamo wa itikadi kali.

XS
SM
MD
LG