Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Oktoba 07, 2024 Local time: 12:18

Makamu rais wa Malawi afariki katika ajali ya ndege

Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima amefariki dunia katika jali ya ndege.
Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima amefariki dunia katika jali ya ndege.

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amesema  Jumanne wakati akihutubia taifa kwamba kila mtu aliyekuwa ndani ya ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima iliyopotea  Jumatatu amefariki.

Afisa wa juu wa jeshi Paul Valentino Phiri aliwaambia waandishi wa habari kwamba shughuli za utafutaji na uokoaji zilidumazwa na hali ya ukungu kuzunguka msitu wa Chikangawa ambapo ilikuw ashida kuona vizuri.

Chilima, mwenye umri wa miaka 51, alikuwa ndani ya ndege ya jeshi na abiria wengine tisa walioondoka Lilongwe, mji mkuu, saa tatu za asubuhi siku ya Jumatatu.

Forum

XS
SM
MD
LG