Upatikanaji viungo

Majaji Kenya walalamikia kuingiliwa kwa kazi zao


Mahakama ya Mombasa. Majaji nchini Kenya wanasema kuwa maafisa wa serikali wanaingilia kazi zao.

Majaji katika idara ya mahakama nchini Kenya wanalalamikia kuingiliwa kati kwa shughuli zao na maafisa wa serikali kuu huku wakitoa maagizo ya jinsi kesi zinahitaji kuamuriwa.

Aidha wanadai kuwa idara mbali mbali za serikali zinakaidi amri za mahakama na hivyo kuendeleza ukiukaji wa sheria swala aambalo wanadai linapunguza imani ya wakenya katika idara ya mahakama. Sikiliza ripoti yake Liberty Adede akiwa mombasa, Kenya.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG