Kutokana na utafiti na uchambuzi mpya uliofanywa na maafisa wa usalama wa kikanda, ofisi ya UN ya kupamba na dawa za kulevya, uhalifu ya mitandaoni na Uhalifu wa kupanga , wamesema kwamba inaaminika casino na maeneo ya michezo ya kamari kwenye kimitandao hivi sasa inahusisha mabilioni ya dola kila mwaka.
Maafisa wa shirika hilo la UNODC pia wamesema kwamba majukwaa hayo ya kidijitali yamesaidia kuendeleza uhalali huo kwa kuwa ni vigumu kwa mamlaka kufuatilia usafirishaji wa fedha au kuzikamata. Maafisa hao wameiambia VOA kwamba baadhi ya mataifa husika ni Cambodia, Laos, Myanmar, Thailand na Vietnam.
Forum