Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 06, 2022 Local time: 11:23

Mafuriko yasababisha maafa na uharibifu bara la Ulaya


Mafuriko yasababisha maafa na uharibifu bara la Ulaya
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:02 0:00

Mafuriko makubwa yayakumba maeneo kadhaa ya nchi za bara la Ulaya na kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.

- Maandamano ya kupinga na kuunga mkono serikali ya Cuba yafanyika katika nchi mbalimbali za Amerika Kusini.

- ​Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani, WTO, amewaambia mawaziri wa biashara ana matumaini mazuri ya kufikia makubaliano juu ya mazungumzo ya biashara ya uvuvi duniani.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG