Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Julai 23, 2024 Local time: 13:56

Lugha ya Kiswahili kutumika Afrika Mashariki


Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Viongozi wa jumuiya hiyo wamesema hii ni hatua muhimu katika kuhamasisha matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye maeneo yao jambo litakalowezesha itambulike zaidi kimataifa.

Marais wa nchi sita zinazounga jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kuanzisha taasisi ya kukuza na kuendeleza lugha ya Kiswahili itakayokuwa na makao yake katika visiwa vya Zanzibar.

hatua ya kuanzisha taasisi hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na baraza la mawaziri wa nchi hizo kwenye kikao cha 17 cha marais wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki lengo likiwa kukifanya kiswahili kuwa lugha ya ukanda huo.

please wait

No media source currently available

0:00 0:01:31 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

nchi zinazotarajiwa kutumia lugha ya kiswahili ni pamoja na Kenya, Rwanda, Burundi, Tanzania na Uganda.

XS
SM
MD
LG