Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 07:28

Korea Kusini yapeleka onyo kali kwa Korea Kaskazini


Korea Kusini yapeleka onyo kali kwa Korea Kaskazini
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:41 0:00

Jeshi la Korea Kusini limefyatua mizinga ya kuionya Korea Kaskazini kwa kutuma ndege za kivita na ndege za kijasusi katika anga ya Korea Kaskazini. Hatua hii ni kufuatia kitendo cha Korea Kaskazini kurusha ndege zisizokuwa na rubani katika anga ya jirani yake Korea Kusini.

XS
SM
MD
LG