Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 18, 2024 Local time: 05:44

Kiongozi wa waasi Sudan Kusini aahidi kukaribisha makamanda

Riek Machar kiongozi wa waasi Sudan Sukusini
Riek Machar kiongozi wa waasi Sudan Sukusini

Makamu wa rais wa zamani amesema majenerali hao wawili waliokuwa katika uongozi hawakufutwa kazi kutoka jeshini hadi sasa na wanakaribishwa kuungana tena na kundi hilo kwasababu aliwapumzisha .

Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini , Riek Machar amesema atawakaribisha makamanda wawili waasi waliojitenga kama wataamua kujiunga tena na kundi hilo la jeshi la upinzani la sudan people’s liberation army- SPLM-IO.

Mwezi julai kiongozi huyo wa waasi aliwapumzisha meja generali Peter Gatdet na meja generali Gathoth Gatkuoth ambao walitumika kama wasaidizi wa mkuu wa utawala katika operesheni na mikakati.

Makamu wa rais wa zamani amesema majenerali hao wawili waliokuwa katika uongozi hawakufutwa kazi kutoka jeshini hadi sasa na wanakaribishwa kuungana tena na kundi hilo kwasababu aliwapumzisha .

Ameongezeza kusema kuwa ni wao wenyewe walioondoka, Lakini kama wanataka kurejea watakaribishwa.

Magenerali hao wawili waliamua kujitenga wakimshutumu kiongozi wao kwa kuwa na kiu kubwa ya madaraka na uongozi mbovu.

Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti magenerali hao wameanzisha kundi lingine lakini haiko bayana kama kundi hilo lina je

XS
SM
MD
LG