No media source currently available
Kesi kubwa kabisa katika historia ya Ubelgiji imeanza Jumatatu ambapo watu 10 wanaotuhumiwa kwa kujihusisha na mashambulizi ya mabomu ya kujitoa mhanga mjini Brussels mwaka 2016 ambayo yaliuua watu 32 na kujeruhi zaidi ya watu 300.