Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 19:47

Wakenya zaidi wahamishwa kutoka Sudan Kusini


Serikali ya Kenya iliongeza kasi Jumanne katika shughuli za uokozi wa raia wake waliokwama Sudan Kusini baada ya machafuko yaliyozuka baina ya wanajeshi watiifu wa Rais wa nchi hiyo Salva Kiir na walinzi wa naibu wake wa Kwanza Riek Machar wiki moja iliyopita.2016. (The image was provided to Reuters by a third party.)

Serikali ya Kenya iliongeza kasi Jumanne katika shughuli za uokozi wa raia wake waliokwama Sudan Kusini baada ya machafuko yaliyozuka baina ya wanajeshi watiifu wa Rais wa nchi hiyo Salva Kiir na walinzi wa naibu wake wa Kwanza Riek Machar wiki moja iliyopita.

Siku ya Jumanne Wakenya zaidi ya 100 walitua uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta huku wakisimulia masaibu yaliyowakumba mjini Juba. Mwandishi wetu wa Nairobi Kennedy Wandera ametuandalia taarifa ifuatayo.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:00 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG