Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Septemba 29, 2023 Local time: 10:49

Kenya yashika nafasi ya tatu kwa ufisadi duniani

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi yao.

Ripoti mpya ya viwango vya ufisadi inaonyesha Kenya ikishikila nafasi ya tatu kote ulimwenguni, licha ya serikali kuweka mikakati ya kukabililiana na viotendo vya rushwa na ufisadi.

Utafiti huo wa shirika la Pricehouse-Water-Coopers unaonyesha Kenya ikiwa nafasi ya tatu nyuma ya Ufaransa na Afrika Kusini.

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi yao.

Katika mahojiano na sauti ya Amerika Maur Abdalla Bwanamaka, mwenyekiti wa chama cha Uzalendo nchini Kenya, ameutaja utumiaji mbaya wa mamlaka kama unaochangia kwa kiasi kikubwa hali ilivyo.

Ufisadi Kenya
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:29 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG