Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:23

Kenya: Kijana aeleza alivyobadilisha maisha yake kujiepusha na uhalifuKenya: Kijana aeleza alivyobadilisha maisha yake kujiepusha na uhalifu
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:09 0:00

Maisha ya Evans yalikuwa ni ya hatari alipokuwa katika kundi la uhalifu lililokuwa linaogopewa na kutumia njia za kikatili kupata anachotaka. Alikuwa katika hali ya kuangamia katika mikono ya raia.

Maisha ya Evans yalikuwa ni ya hatari alipokuwa katika kundi la uhalifu lililokuwa linaogopewa na kutumia njia za kikatili kupata anachotaka. Alikuwa katika hali ya kuangamia katika mikono ya raia. Lakini sikiliza kisa chake na anaeleza ni kitu gani kilichomfanya kuacha mwenendo huo kutokana na ushawishi chanya wa kituo cha kuwarekebisha vijana wanaojihusisha na uhalifu. Endelea kusikiliza repoti maalum ya mwandishi wetu..

XS
SM
MD
LG