Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 22, 2024 Local time: 15:36

Kenya Airways yatangaza hasara ya Shilingi bilioni 26.2

Shirika la ndege la Kenya Airways, limeripoti hasara ya shillingi bilioni 26.2 katika kipindi cha mwaka mmoja, kufikia mwezi Machi mwaka huu. Hii ni ongezeko ya hasara iliyoripotiwa mwaka uliotangulia ya bilioni 25.7.

Gazeti la Dily Nation, la nchini Kenya limeripoti kuwa wakati huo huo, pato la shirika hilo liliongezeka kutoka shilingi bilioni 110.1 hadi shilingi bilioni 116.1 katika kipindi cha mwaka mmoja.

Shirika hilo pia lilipoteza kiasi kikubwa cha fedha zinazomilikiwa na wanachama wake na kuweka rekodi mpya. Dhamani ya kampuni hiyo sasa imeteremka tena kwa kiasi cha shilingi bilioni 35.6 kwa kipindi hicho.

XS
SM
MD
LG