Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Oktoba 07, 2024 Local time: 21:23

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz aanza ziara ya Afrika Senegal

Rais wa Senegal Macky Sall akiwa na mgeni wake Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz katika Ikulu ya Dakar.
Rais wa Senegal Macky Sall akiwa na mgeni wake Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz katika Ikulu ya Dakar.

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alilakiwa na Rais wa Senegal Macky Sall baada ya kuwasili Dakar Jumapili  katika siku ya kwanza ya ziara ya siku tatu ya Senegal, Niger na Afrika Kusini.

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alilakiwa na Rais wa Senegal Macky Sall baada ya kuwasili Dakar Jumapili katika siku ya kwanza ya ziara ya siku tatu ya Senegal, Niger na Afrika Kusini.

Athari za Russia kwa bei ya nishati na chakula na usalama zitatoa hali ya ilivyo kwenye safari ya kwanza ya Olaf Scholz barani Afrika kama Kansela wa Ujerumani.

Senegal,ina mabilioni ya ujazo wa hifadhi ya gesi na inatarajiwa kuwa mzalishaji mkuu wa gesi katika eneo hilo.

Ujerumani inataka kupunguza utegemezi wake mkubwa wa gesi kwa Russia kufuatia uvamizi wa Kremlin nchini Ukraine. Inaweza kusaidia kuchunguza eneo la gesi nchini Senegal, afisa wa serikali alisema Ijumaa.

XS
SM
MD
LG