Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 05:58

Kampuni ya Adidas: Teknolojia yafichua goli halikufungwa na Ronaldo


Kampuni ya Adidas: Teknolojia yafichua goli halikufungwa na Ronaldo
please wait

No media source currently available

0:00 0:10:07 0:00

Goli lililoleta utata huko Qatar na sehemu nyingine ulimwenguni ambalo baadhi ya mashabiki wa soka walidai lilifungwa na nyota wa soka ulimwenguni Cristiano Ronaldo, na kuzua ubishi mkubwa, hivi sasa limewekwa bayana na teknolojia kwamba ni la mchezaji Bruno Fernades.

Sikiliza kile ambacho kampuni ya Adidas ambayo ndiyo yenye kutengeneza mipira ya Kombe la Dunia inavyoeleza kile ambacho kimebainishwa na teknolojia ya sensor zilizowekwa ndani ya mpira. Endelea kusikiliza hayo na mengine mengi kutoka kwa mwana michezo wa VOA Sunday Shomari aliyeko Qatar kushuhudia na kuripoti michuano hiyo...

XS
SM
MD
LG