Mjadala mkali unaendelea miongoni mwa watu nchini Kenya kuhusu matukio ya ubakaji ambayo kulingana na ripoti za polisi yanazidi kutoka mara kwa mara katika maeneo kadha nchini.
Mji wa Mombasa ni mmojawapo wa sehemu ambazo vitendo hivyo vinatokea na kusababisha mjadala mkali kuhusu chanzo cha tabia kama hizo.
Katika makala yetu ya hoja kwa hoja leo wakazi wawili wa Mombasa wanapambana hoja kwa hoja kuhusu swala hilo.