Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 05, 2022 Local time: 09:57

Hatua ya Rais wa Kenya Ruto kuondoa marufuku ya GMO yaleta hisia mseto


Hatua ya Rais wa Kenya Ruto kuondoa marufuku ya GMO yaleta hisia mseto
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:13 0:00

Hatua ya serikali ya Kenya kuondoa marufuku ya bidhaa za GMO inaendelea kuleta hisia mseto baadhi ya wananchi wakisema kuwa GMO haijaweza kuthibitishwa kuwa na manufaa kwa nchi na afya ya wananchi, wakitaka utafiti zaidi ufanyike ili kuhakikisha usalama wake.

XS
SM
MD
LG