Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 23, 2024 Local time: 15:02

Gavana wa Kivu Kaskazini anawasihi raia kushirikiana na jeshi kusitisha uasi


Wanajeshi wa jeshi la Congo wakifanya doria dhidi ya kundi la uasi la ADF huko Congo
Wanajeshi wa jeshi la Congo wakifanya doria dhidi ya kundi la uasi la ADF huko Congo

Anasema juhudi za jeshi pekee hazitoshi ikiwa wananchi hawatatoa mchango kamili katika kufanikisha suala hili

Gavana wa Kivu kaskazini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC anawaomba wananchi wote pamoja na vijana kuunga mkono juhudi za wanajeshi wanao pambana na waasi wanaoshukiwa kuwa ni ADF huko eneo la Beni kwa kuwa jeshi pekee haliwezi kumaliza vitendo vya uasi bila kupata mchango kamili wa wananchi waliopo katika eneo.

Mwandishi wa VOA, Austere Malivika anaripoti zaidi kutoka Goma.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:59 0:00


XS
SM
MD
LG