Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 17:11

Gavana mpya mwanajeshi awataka waasi wajisalimishe


Gavana mpya mwanajeshi awataka waasi wajisalimishe
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Gavana mpya wa Kijeshi wa Kivu Kaskazini Luteni Jenerali Constant Ndima ameanza kazi rasmi Jumanne akiwatoa fursa kwa waasi kujisalimisha bila masharti yoyote.

XS
SM
MD
LG