Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 12:49

Uchaguzi : Farmajo ashindwa kukubaliana na marais wenzake


Uchaguzi : Farmajo ashindwa kukubaliana na marais wenzake
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:01 0:00

Rais wa Somalia Farmajo ashindwa kufikia makubaliano ya kutayarisha uchaguzi mkuu na marais wenzake wenye utawala wa ndani baada ya kumaliza muhula wake wa uongozi.

XS
SM
MD
LG