Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 13:28

Ethiopia yasema vikosi vyake vimepata mafanikio makubwa Tigray


Ethiopia yasema vikosi vyake vimepata mafanikio makubwa Tigray
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Ethiopia yatangaza kuwa vikosi vyake vimepata mafanikio makubwa kaskazini mwa Tigray na sasa vinaelekea mji mkuu wa jimbo hilo.

- DRC yatangaza hivi sasa haina Ebola tena, baada ya siku 40 bila ya repoti za maambukizi.

- Marekani yaweka vikwazo kwa maafisa wa juu wa kundi la al-Shabaab wanaoshutumiwa kuhusika na shambulizi la kambi ya kijeshi Kenya.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG