Mkopo huo wa Benki ya dunia ni wa kwanza kwa Ethiopia tangu ilipoanza mipangilio ya muda mrefu kulipa madeni yake.
Ethiopia, ambayo ni ya pili Afrika kwa idadi kubwa ya watu barani Afrika, ilipata mkopo wa dola bilioni 3.4 kutoka kwa shirika la Kimataifa la Fedha IMF mnamo Jumatatu.
Benki ya dunia itatoa dola bilioni 1 na nyingine milioni 500 kwa kiwango cha chini cha riba, ikiwa ni kwa ajili ya kusaidia bajeti ya Ethiopia.
Forum