Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 01:04

Duniani Leo : Septemba 24 : Viongozi wa Afrika wahimiza kuwepo usawa wa chanjo


Duniani Leo : Septemba 24 : Viongozi wa Afrika wahimiza kuwepo usawa wa chanjo
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:02 0:00

Hotuba za baadhi ya viongozi wa Afrika katika Mkutano Mkuu wa UN zatawala hoja ya kuwepo usawa wa chanjo.

- Wakenya 89 wamekufa katika nchi za Kiarabu wengi wakiwa wanafanya kazi majumbani.

- Wahamiaji wa Haiti wanafanya safari ngumu kuingia Marekani huku wakikabiliwa na shinikizo la kurejeshwa nchini kwao.


Facebook Forum

XS
SM
MD
LG