Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 18, 2024 Local time: 16:45

Moto wazuka katika hoteli kubwa Dubai


A fire engulfs The Address Hotel in downtown Dubai in the United Arab Emirates Dec. 31, 2015.
A fire engulfs The Address Hotel in downtown Dubai in the United Arab Emirates Dec. 31, 2015.

Moto umezuka katika hoteli ya Address, moja ya hoteli kubwa katikati ya mji Dubai Alhamisi. Maafisa wa serikali na video za awali zinaonyesha kuwa moto huo ulianza katika ghorofa ya 20 katika hoteli hiyo yenye ghorofa zaidi ya 60.

Maafisa wanasema moto huo ulianzia nje ya hoteli, kiasi cha tatu na nusu kwa saa za Dubai. Maafisa wanasema wazima moto wangali wanajaribu kuuzima moto huo.

XS
SM
MD
LG