Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Mei 24, 2024 Local time: 22:33

DRC yakemea vikali ushauri wa Magharibi kuhusu Demokrasia


Rais Joseph Kabila wa DRC
Rais Joseph Kabila wa DRC

Serikali Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepuuzilia vitisho vya kuwekewa vikwazo vya Marekani na Uingereza dhidi ya maafisa wake ambao wanaaminika kubana wapinzani na kutishia taratibu ya kupata kidemokrasia nchini humo

Msemaji wa serikali Kongo,Lambert Mende amesema Jumatatu kwamba hakuna sababu yeyote inayo toa ruhusa kwa Marekani au Uingereza kueleza nchi yake ki inachotakiwa kufanya katika njia ya kujipatia Demokrasia. Mwandishi wa VOA Saleh Mwanamilongo inaeleza kwa kina kutoka Kinshasa.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:02 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG