Rais Donald Trump awambia wafuasi wake jimboni Georgia kwamba wameibiwa kura lakini wameshinda uchaguzi, wakati wa Demokrats na wa Republican wakijitayarisha kwa uchaguzi maalum kwa ajili ya viti viwili via Seneti katika jimbo hilo la kusini.
Matukio
-
Januari 15, 2021
Museveni aongoza matokeo ya awali ya uchaguzi Uganda
-
Januari 14, 2021
Uchaguzi wafanyika Uganda katika hali ya wasiwasi
-
Januari 13, 2021
Mitandao ya kijamii yafungwa Uganda kabla ya Uchaguzi Mkuu
-
Januari 11, 2021
Mchakato wa kumuondoa madarakani Rais Trump waanza
-
Januari 09, 2021
Trump asema alikasirishwa na vurugu za wafuasi wake Congress
-
Januari 07, 2021
Ulimwengu washangazwa na uvamizi wa wafuasi wa Trump bungeni
Facebook Forum