Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 09, 2024 Local time: 04:57

Dhoruba kubwa California yasababisha kukatika umeme na mafuriko


Mtu akitembea kwenye barabara iliyofurika maji wakati wa dhoruba Alhamisi, Novemba 21, 2024, huko Santa Rosa, California (AP)
Mtu akitembea kwenye barabara iliyofurika maji wakati wa dhoruba Alhamisi, Novemba 21, 2024, huko Santa Rosa, California (AP)

Dhoruba kubwa iliyokuwa ikipita Kaskazini mwa California siku ya Alhamisi iliangusha  theluji kubwa na mvua kubwa na kusababisha mafuriko

Dhoruba kubwa iliyokuwa ikipita Kaskazini mwa California siku ya Alhamisi ilisababisha theluji kubwa na mvua kubwa na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo, baada ya kuua watu wawili na kukatika kwa umeme kwa maelfu ya watu katika Pasifiki Kaskazini Magharibi.

Watabiri wa hali ya hewa walionya kwamba hatari ya mafuriko na maporomoko ya mawe itaendelea, na safari nyingi za ndege ziliahirishwa katika uwanja wa ndege wa San Francisco.

Forum

XS
SM
MD
LG