Upatikanaji viungo

Breaking News

Mohhamed Ali Soilihi akubali kushindwa Comoro


Wafuasi wa mgombea wa upinzani washerehekea ushindi Comoros 2016.

Baada ya uchaguzi wa Urais na magavana kufanyika kwenye visiwa vya Comoro tarehe kumi Aprili,matokeo yamengojewa kwa hamu kutoka upande wa Serikali na vyama vya upinzani.

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:58 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Akizu8ngumza na Sauti ya Amerika kutoka Moroni mwandishi wa habari Abdulrahman Baramia alisema hali ni ya utulivu katika visiwa vyote baada ya matangazo yaliyokua yanasubiriwa kwa hamu kutangazwa.

Facebook Forum

Recommended

  • Vice President Joe Biden President Donald Trump

    UCHAGUZI MAREKANI 2020

XS
SM
MD
LG